Daktari
Bingwa wa upasuaji Dk. Muganyizi Kairuki akizungumza wakati wa semina
ya upasuaji kwa njia matobo Laparoscopia uliofanyika LIVE katika
Hospitali ya Kairuki Mikocheni jijini Dar es Salaam. Semina hiyo
iliwashirikisha madakatari wa ndani na nje ya nchi.
Daktari
Bingwa wa upasuaji kutoka Afrka Kusini, Prof. Zacharia Koto (wa pili
kulia), akisaidiana na daktari bingwa wa upasuaji kutoka Namibia Dk. S.
Kaikai (kulia) na Dk. Muganyizi Kairuki wakimfanyia operesheni ya
kuondoa mawe tumboni mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya
Kairuki, wakati wa semina ya upasuaji kwa njia ya matobo iliyofanyika
katika hospitali ya Kairuki Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Madaktari wakiwa kazini.
Madaktari wakishauriana jambo wakati wa operesheni.
Madktari wakiwa kazini.
Dk. Sunil Popat kutoka India akifanya operesheni ya matobo Laparoscopia Live.
Kutoka
kushoto ni Dk. Ali Mwanga wa Muhimbili, Dk. Steven Mbata wa Kairuki
Hospitali, Dk. Brown Ndofor wa Namibia Dk. Sunil Popat wa India na
Sister Salvata Kulaya wa Kairuki Hospitali.
Chumba cha upasuaji kikiwa na vifaa vya kisasa.
Kutoka
kushoto ni Dk. Jerome Mtiramweni wa HKMU, Dk. Brown Dafor wa Namibia,
Dk. Sunil Popat wa India na Sister Salvata Kulaya wa Kairuki Hospitali.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki Prof. Keto Mshigeni, akizungumza
wakati wa semina ya upasuaji wa matobo Laparoscopia uliofanyika LIVE
katika Hospitali ya Kairuki Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Dk.
Muganyizi Kairuki (kushoto) akiwaonyesha madaktari vifaa vinavyotumika
wakati wa kufanyia operesheni ya matobo Laparoscopia, madaktari
waliohudhuria kwa mafunzo vitendo namna ya kutumia vifaa hivyo.
Professa Esther Mwaikambo akichangia mada wakati wa semina hiyo.
Professa Zacharia Koto (kushoto), akipokea ngao kutoka kwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki Prof. Keto Mshigeni
Dk. Paul Kisanga wa Selian Hospitali Arusha, akipokea cheti kutoka kwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki Prof. Keto Mshigeni.
Baadhi ya madaktari wakiwa katika picha ya pamoja.
Baadhi ya washiriki wa semina ya upasuaji kwa njia ya matobo kwa vitendo Laparoscopia.








0 comments:
Post a Comment