Ads 468x60px

Tuesday, May 27, 2014

Rais Jakaya Kikwete Amjulia Hali Mama Mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini Kwa Tiketi ya CHADEMA Zitto Zuberi Kabwe Aliyelazwa Katika Wodi ya Wagonjwa Wenye Kuhitaji Uangilizi Maalumu (ICU)Hospitali ya AMI jijini Dar es Salaam

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mama Mzazi wa Mbunge  wa Kigoma Kaskazini  kwa tiketi ya CHADEMA Zitto Zuberi Kabwe aliyelazwa katika wodi ya wagonjwa wenye kuhitaji uangilizi maalumu (ICU) hospitali ya AMI jijini Dar es Salaam leo.Picha na Freddy Maro-IKULU

0 comments:

Post a Comment