Muda
mchache uliopita mdau ametutumia Taswira hii ya tukio la Ujambazi
Barabara ya Ali Hassan Mwinyi, eneo la Morocco mbele ya Jengo la Airtel,
ambapo Majambazi yameweza kupora fuko la hela ambalo haikuweza
kufahamika ni kiasi gani na kama kuna tukio la mtu kuuawa ama la.
0 comments:
Post a Comment