Ads 468x60px

Sunday, April 13, 2014

NIMENUSURIKA

 
Dereva wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro akiwa juu ya mti baada ya gari alilokuwa anaendesha kusombwa na maji katika eneo la Melela wilayani Karatu juzi.
 Picha na Theodora Mrema.

0 comments:

Post a Comment