
Baadhi ya abiria wakiwasili na kuondoka kwenye Bandari ya mji wa Zanzibar, ambapo kwa sasa baada ya kukarabatiwa na kujengwa upya kumekuwa na utaratibu mzuri kwa abiria wanaoondoka na kuwasili kwenye bandari hiyo na pia masuala ya usalama yameimarishwa na kwa upande wa wageni ambao si raia huelekezwa kupita njia yao ili kufuata taratibu za ukaguzi na vibari husika. HONGERA BAKHRESA

Sehemu ya daraja la kuegesha Meli za Azam ikiwa katika muonekano mpya....

Hii ndiyo picha na Taswira ya mji wa Zanziba ikikupokea wakati ukianza kutia Nanga katika Bandari hiyo.








0 comments:
Post a Comment