Ads 468x60px

Saturday, May 10, 2014

MSIGWA AONGOZA MAZISHI YA MAREHEMU GERVAS KALOLO IRINGA

Mchungaji Peter Msigwa Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini ambaye pia ni mwenyekiti wa wilaya ya Iringa-Chadema akiweka shada la maua kaburini.
Meya wa Mji wa  Iringa Mjini Amani Mwawindi akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa kada wa Chadema Gervas Kalolo aliyezikwa makaburi ya Mtwivilla Manispaa ya Iringa, mkoani Iringa hivi karibuni.
Ndugu wa marehemu wakiweka Mashada ya maua katika kaburi baada ya mazishi. Picha na Mnyalu.

0 comments:

Post a Comment