Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akipokea kutoka kwa nahodha msadidizi wa timu ya
soka ya Tanzania ya Watoto wa Mitaani, Frank William, kombe la ubingwa
wa dunia wa soka la watoto wa Mitaani wakati alipowaandalia chakula cha
mchana kwenye makazi yake mjini Dodoma Aprili 11,2014

Wachezaji
wa Timu ya Soka ya Tanzania ya Watoto wa Mitaani, waliotwaa ubingwa
wa Dunia wakipata Chakula cha mchana kilichoandaliwa na Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda kwa ajili yao kwenye makazi yake mjini Dodoma Aprili 11,
2014

Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Timu
ya Soka ya Tanzania ya Watoto wa Mitaani, waliotwaa ubingwa wa Dunia
katika Chakula cha mchana kilichoandaliwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
kwa ajili yao kwenye makazi yake mjini Dodoma Aprili 11, 2014.Picha
na Ofiai ya Waziri Mkuu
Na Magreth Kinabo –Dodoma
Mfungaji bora wa Timu ya Watoto wa Mitaani kutoka Mwanza Tanzania, (TSC)ambayo iliibuka mshindi katika mashindano Kombe la Dunia la Watoto hao yaliyofanyika Brazil, mwaka huu Frank William ameishauri , Serikali na jamii kuwasaidia watoto wa mitaani ili kuweza kukuza vipaji vyao.
Kauli hiyo ilitolewa leo mjini Dodoma na William wakati walipolitembelea Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma , wakiwa na viongozi wao ,ambapo walipata nafasi ya kuzungumza na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara pamoja na Naibu wake Juma Nkamia.
Alisema siri ya ushindi wetu ni ushirikiano na kujituma, tukilikwenda kuwakilisha watoto wengine wa mitaani. Hivyo aliomba jamii kuwasaidia watoto wengi wa mitaani ambao hawana uwezo wa kupata elimu lakini wana vipaji mbalimbali ili waweze kuvikuza.
Kwa upande wake kipa bora wa timu hiyo, Emmanue Amos, alishauri Serikal iweze kuwasaidia ili waweze kushiriki katika mashindano ya mwaka 2018 ya kombe hilo.
Mchezaji mwingine wa timu hiyo ,Denis David aishauri jamii isiwadharau kwa kuwa ni watoto wa mitaani kwani wanavipaji wakipata watu wa kuwasaidia, hivyo aliitaka iwekeze katika soka la vijana kwa sababu baada ya miaka 20 ijayo mchezaji bora anapatikana kwa njia hiyo.
Aliwaomba wajumbe wa Bunge hilo ,kuwasaidia ili waweze kuvikuza vipaji vyao.
Naye Kocha wa timu hiyo,Suileiman Jabir alisema wadau mbalimbali kuwasaidia na kuwaendeleza watoto hao I, ambao ni wengi ambao wanaweza kuwa na vipaji vya sanaa na utamaduni.
Akizungumzia kuhusu mafanikio ya ushindi huo, ni kuwa na mpango wa kutafuta vijana wenye vipaji ambapo wanaviendeleza na kuvikuza kwa kufanya maandalizi ya kiutalaamu na kiufundi.
Jabir aliongeza kuwa waliwandaa kisaikolojia ili waweze kushinda katika mashindano hayo ya kimataifa.
Aliwataka wajumbe wa Bunge hilo, kuhakikisha was aula la watoto hao, linapewa kipaumbele na kuweka sheria itakayowadhibiti wakina baba wanatekeleza watoto,huku akiisa jamii kuwasaidia watoto pale wazazi au walezi wanapofariki dunia. Rais wa timu hiyo, Altaf Hirani aliiomba Serikali kuweza kuwasaidia kupata kiwanja cha michezo kwa ajili ya watoto jijini Mwanza au kwenye maeneo mengine ya nchi.
PINDA AANDAA CHAKULA KWA TIMU YA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU

0 comments:
Post a Comment