Ads 468x60px

Thursday, April 10, 2014

MHE. RIDHIWAN KIKWETE AKABIDHIWA HATI YA KUCHAGULIWA KUWA MBUNGE WA CHALINZE

Hongera sana Ridhwani sasa kilicho baki ni kutimiza ahadi zako na fanya kazi yako kama unavyotakiwa kufanya. Wanachalinze na watanzania wote wamekuamini na kukupa jukumu kubwa sana. Tunaamini utatenda hivyo.

Kila la kheri.

0 comments:

Post a Comment