Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akizindua rasmi mkutano Mkuu wa mwaka wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Tanzania (NIMR) na kongamano na Wanasayansi wataifi. Kongamano hilo lililofanyika kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam, limeandaliwa na Taasisi hiyo ya (NIMR).

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akizindua rasmi Kongamano la 28 la Mwaka la Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Tiba (NIMR). Kongamano hilo lililofanyika kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam, limeandaliwa na Taasisi hiyo ya (NIMR).
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akifungua pazia kuashiria kuzindua rasmi Kongamano la 28 la Mwaka la
Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Tiba (NIMR), lililofanyika kwenye Ukumbi
wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam. Kongamano hilo limeandaliwa
na Taasisi hiyo ya (NIMR). Kutoka (kushoto) ni Mkurugenzi wa NIMR, Dkt.
Mwele Malecela, Naibu Waziri wa Afya, Kabwe Steven na Mwenyekiti wa
Baraza la NIMR, Samwel Masele.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akikata utepe kuashiri kuzindua Mpango wa Mkakati wa Nne wa Utafiti
Bora wa Afya, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la 28 la Mwaka la Taasisi
ya Taifa ya Utafiti wa Tiba (NIMR), lililofanyika kwenye Ukumbi wa
Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam. Kongamano hilo limeandaliwa na
Taasisi hiyo ya (NIMR). Kushoto ni Mkurugenzi wa NIMR, Dkt. Mwele
Malecela (katikati) ni Mwenyekiti wa Baraza la NIMR, Samwel Masele
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Tuzo ya Mwanasayansi Bora wa mwaka wa Taasisi ya Taifa ya
Utafiti NIMRI, Steven Magesa, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la 28 la
Mwaka la Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Tiba (NIMR). Lililofanyika
jijini Dar es Salaam, leo Aprili 22, 2014. Katikati ni Mwenyekiti wa
Baraza la NIMR, Samwel Masele
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Tuzo ya Mwanasayansi Bora wa mwaka wa Taasisi ya Taifa ya
Utafiti NIMRI, Prof. Wenceslaus Kilama, wakati wa ufunguzi wa Kongamano
la 28 la Mwaka la Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Tiba (NIMR).
Lililofanyika jijini Dar es Salaam, leo Aprili 22, 2014. Katikati ni
Mwenyekiti wa Baraza la NIMR, Samwel Masele.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na wanasayansi waliopata tuzo bora za
mwaka za wanasayansi wa mwaka wa NIMR, baada ya kukabidhiwa
Picha ya pamoja na washiriki wa Kongamano hilo.
Picha ya pamoja na washiriki wa Kongamano hilo.
Makamu wa Rais Dkt. Bilal, akiwa na baadhi ya viongozi wa Kongamano hilo.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo ambao walitunukiwa zawadi za kuwa wanasayansi bora wa mwaka
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo.
Wasanii wa THT, wakitoa burudani wakati wa ufunguzi huo. Picha zote na OMR
Mkurugenzi wa NIMR, Dk. Mwele Malecela akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo.
Sehemu ya Wanasayansi Watafiti wakifuatilia utafiti huo.
Mkurugenzi
wa NIMR, Dk. Mwele Malecela akimsaidia Makamu wa Rais, Dk. Mohamed
Gharib Bilali kufungua moja ya mikakati aliyoizindua.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akionesha vitabu alivyozinfua vya Mpango wa Mkakati wa Nne wa Utafiti
Bora wa Afya,
Makamu
wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilali akimkabidhi tuzo ya Mwanasayansi Bora
wa mwaka kitaifa wa masuala ya afya, kwa Dk. Steven Magesa (kulia)
wakati wa mkutano Mkuu wa mwaka wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa
Magonjwa ya Binadamu Tanzania (NIMR) na kongamano na Wanasayansi wataifi
ulioanza jana Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Baraza la NIMR,
Samwel Masele.
Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilali akimkabidhi Tuzo ya Mvumbuzi Bora wa Mwaka Kitaifa, Dk. William Kisinza (kulia)
wakati wa mkutano Mkuu wa mwaka wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa
Magonjwa ya Binadamu Tanzania (NIMR) na kongamano na Wanasayansi wataifi
ulioanza jana Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Baraza la NIMR,
Samwel Masele.
Makamu
wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilali akimkabidhi tuzo ya Mwanasayansi Bora
wa mwaka wa Afrika wa masuala ya afya, kwa Prof. Wenceslaus Kilama
(kulia) wakati wa mkutano Mkuu wa mwaka wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti
wa Magonjwa ya Binadamu Tanzania (NIMR) na kongamano na Wanasayansi
wataifi ulioanza jana Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Baraza la
NIMR, Samwel Masele.
Makamu
wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilali (wapili kulia) akiwa katika picha ya
pamoja na Washindi wa tuzo za Mwanasayansi Bora wa mwaka kitaifa wa
masuala ya afya, kwa Dk. Steven Magesa (kushoto) Mwanasayansi Bora wa
mwaka wa Afrika wa masuala ya afya, Prof. Wenceslaus Kilama (wapili
kushoto) na Tuzo ya Mvumbuzi Bora wa Mwaka Kitaifa, Dk. William Kisinza
(kulia) wakati wa mkutano Mkuu wa mwaka wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti
wa Magonjwa ya Binadamu Tanzania (NIMR) na kongamano na Wanasayansi
wataifi ulioanza leo Dar es Salaam.
Picha na viongozi mbalimbali.
Meza kuu
ikiwa katika picha ya Pamoja na Makamu wa Rais, Kutoka kulia ni Ni
Mkurugenzi wa NIMR, Dk. Mwele Malecela, Makamu wa Rais, Dk. Mohamed
Gharib Bilali, Naibu Waziri wa Afya, Dk. Kebwe Steven Kebwe na
Mwenyekiti wa Baraza la NIMR, Samwel Masele.





















0 comments:
Post a Comment