Ads 468x60px

Saturday, April 12, 2014

CHEKA, MIYEYUSHO WAPIMWA UZITO NA WAPINZANI WAO KUTOKA IRAN NA THAILAND TAYARI KWA MAPAMBANO YAO LEO PTA

Bondia Sukkasem Kietyongyuth  kutoka Thailand akitunishiana misuli na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito jana kwa ajili ya mpambano wao wa leo Jumamosi ya Aprili 12 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es Salaam.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEil68C8WEJPAfNcICdT2Xg3lkccP5GA-D5Q8KeN2_uHLiBvrE2HvUQTQD7AIIps8XmnruUWVPcgHg4l_5ifG_i7Wq957gaFmzzARzI0NPEquJODy0ayCWp_FX3KGRu0Og1zvWO7WzIdZteO/s1600/IMG_3347.JPG
 Bondia Fransic Cheka akipima uzito jana kwa ajili ya mpambano wake wa leo April 12 katika ukumbi wa PTA Sabasaba kushoto ni bondia Gavad Zohrehvand wa Iran. 
Picha kwa hisani ya superdboxingcoach.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment